Sepetuko Podcast; Uhuru ameamua ni Raila - kuondoa chuki za kihistoria
First published
08/13/2021
Genres:
news
Similar Episodes
Uchaguzi wa amani Kenya | Sepetuko
Release Date: 09/15/2022
Description: Wakenya walishiriki uchaguzi mkuu wa Agosti 9, mwaka wa 2022 kwa amani. Ni mfano wa kuigwa kote Afrika. Dalmus Sakali anakupa uhondo katika makala ya Sepetuko.
Explicit: No
Rita Tinina: Mwanamke Jasiri Aliyevunja Vizuizi Katika Sekta ya Habari: Sepetuko
Release Date: 03/19/2024
Description: Sepetuko inaomboleza kifo cha mwanahabari wa NTV Rita Tinina. Yapo mengi ya kujifundisha kutokana na maisha ya Tinina, kuanzia kwa uchapakazi wake, unyenyekevu wake na ukarimu wake.
Explicit: No
Mgomo wa Madaktari: Uhai wa Wakenya Uko Hatarini
Release Date: 04/11/2024
Description: Mgomo wa madaktari unaoendelea sasa unatishia haki ya binadamu kwa uhai. Sepetuko inatoa wito kwa serikali na vyama vya madaktari kulegeza misimamo na kufumbua fumbo hili kwa faida ya raia.
Explicit: No
Hongera kwa Serikali kwa Kubadili Mwenendo na Kuwasikiliza Raia
Release Date: 07/08/2024
Description: Sepetuko leo inahongera serikali kwa hatua yake ya kubadili mwenendo na kuanza kuwasikiliza raia. Ni katika kuwasikiliza raia ndipo serikali itaweza kuafiki mengi, na sio katika kuwapuuza wananchi ambao ndio wenye serikali.
Explicit: No