PODCAST · news
Ikulu Tanzania
by Ikulu Mawasiliano
This podcast is for speeches of the President of United Republic of Tanzania Hon. Samia Suluhu Hassan
-
17
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, WAKATI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT), tarehe 12 Juni, 2026, JNICC Dar es Salaam
-
16
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKISHIRIKI KATIKA JUKWAA LA 29 LA KIMATAIFA LA UCHUMI LA ST. PETERSBURG (SPIEF 2026)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishiriki katika Jukwaa la 29 la Kimataifa la Uchumi la St. Petersburg, (SPIEF 2026), Urusi, tarehe 5 Juni, 2026
-
15
HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIZUNGUMZA KATIKA KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA URUSI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ashiriki katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi, St. Petersburg, tarehe 5 Juni, 2026
-
14
HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKITUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA UZAMIVU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) jijini Moscow, tarehe 4 Juni, 2026
-
13
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIHITIMISHA MAFUNZO YA MAAFISA NA WAKAGUZI WASAIDIZI WA POLISI KOZI NA. 1/2025/2026
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amehitimisha Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi, Kurasini, Da es Salaam tarehe 28 Mei, 2026.
-
12
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIWAAPISHA MAJAJI WATEULE WA MAHAKAMA YA RUFANI IKULU DAR ES SALAAM, TAREHE 26 MEI, 2026
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha Majaji Wateule wa Mahakama ya Rufani, Ikulu Dar es Salaam, tarehe 26 Mei, 2026
-
11
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA KWENYE MKUTANO WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI KUHUSU UVUMBUZI WA NISHATI YA NYUKLIA BARANI AFRIKA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishiriki katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali kuhusu Uvumbuzi wa Nishati ya Nyuklia barani Afrika (NEISA) Kigali, Rwanda tarehe 19 Mei, 2026
-
10
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI WA KUHITIMISHA MAFUNZO YA UONGOZI NGAZI YA JUU NA UONGOZI DARAJA LA PILI KOZI 2025/26
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akihitimisha Mafunzo ya Uongozi Ngazi ya Juu Kozi Namba 28 na Uongozi Daraja la Pili Kozi Namba 48 kwa Mwaka 2025/2026 katika Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania, tarehe 09 Mei, 2026
-
9
HOTUBA YA MHE RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIMUAPISHA NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU (KAZI, AJIRA NA MAHUSIANO)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, katika hafla iliyofanyika tarehe 06 Mei, 2026, Ikulu Chamwino, Dodoma
-
8
HOTUBA YA MHE. RAIS RUTO WAKATI AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI WAKATI WA ZIARA YAKE NCHINI TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mheshimiwa William Ruto akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa ziara yake nchini Tanzania
-
7
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI WA ZIRA YA MHE. RAIS RUTO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa Ziara ya Rais Mhe. Ruto nchini Tanzania
-
6
HOTUBA YA MHE. KAGAME RAIS WA RWANDA WAKATI WA ZIARA YAKE YA KIKAZI NCHINI
Ziara ya Kikazi ya Mhe. Paul Kagame, Rais wa Jamhuri ya Rwanda
-
5
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI WA ZIARA YA KIKAZI YA MHE. KAGAME RAIS WA RWANDA
Ziara ya Kikazi ya Mhe. Paul Kagame, Rais wa Jamhuri ya Rwanda
-
4
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKISHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI, MEI MOSI MKOANI NJOMBE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Kitaifa Mkoani Njombe, tarehe 1 Mei, 2026
-
3
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIZINDUA MELI YA KWANZA YA UVUVI WA BAHARI KUU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizindua Meli ya Kwanza ya Uvuvi wa Bahari Kuu ya Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO), tarehe 25 Aprili, 2026, Kigamboni, Dar es Salaam.
-
2
HOTUBA YA JAJI MKUU MSTAAFU MOHAMMED OTHMAN CHANDE WAKATI AKIWASILISHA RIPOTI YA TUME YA RAIS YA KUCHUNGUZA MATUKIO YA UVUNJIFU WA AMANI YALIYOTOKEA WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA, 2025
Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025,
-
1
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIPOKEA RIPOTI YA TUME YA RAIS YA KUCHUNGUZA MATUKIO YA UVUNJIFU WA AMANI YALIYOTOKEA WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, akipokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025
We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.
No matches for "" in this podcast's transcripts.
No topics indexed yet for this podcast.
Loading reviews...
Loading similar podcasts...