
INUA JAMII PROGRAM -KCB BANK PORT VICTORIA
AFUENI KWA FAMILIA MAHIJAI MAALUMWizara ya Utumishi wa Umma, Jinsia, Masuala ya Wazee na Mipangilio Maalum imeanzisha mpango wa usajili wa uhawilishaji fedha wa Inua Jamii unao lenga Wazee (miaka 70 na Zaidi), Watu Wanaoishi na Ulemavu na Watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu katika ofisi zao Budalang'i.Ikumbukwe kuwa huu ni mpango mpya ambao unawalenga wale wanao sajiliwa kwa mara ya kwanza na wale walionufaika hapo awali, kwa hivyo wanainchi ambao wako chini ya vikundi vilivyo tajwa kujitokeza kwa wingi ilikusajiliwa.Benki (KCB) tawi la Port Victoria ni baadhi ya Benki ambazo zimepewa kandarasi,Watakao nufaika watapokea pesa zao baada ya kufungua akaunti nao.
Language
en
Released
Creator
Bulala 107.5 FM Community Radio
Genre
business
Discussion (0)