PODCAST · news
Siasa Zetu
by 123 Productions
SIASA ZA TANZANIANeno Siasa linamaana tofauti tofauti kwa kila mtu, wengi wanadhani siasa ni dhana ya kujihusisha na uongozi wa nyazifa mbali mbali za serikali.Lakini inawezekana tusichokijua ni kwamba Siasa zinagusa kila nyanja za maisha ya Mtanzania, iwe ni uchumi, maisha ya kila siku, michezo, afya, maendeleo ya jamii na kadha wa kadha.Mijadala ya Siasa inahitaji kujadiliwa katika mitazamo tofauti tofauti ili kuelewa athari na faida zake kwenye maisha ya kila siku, hiyo ndiyo kwasababu Siasa Zetu the Podcast inakuletea mjadala na wataalamu, wanasiasa na viongozi mbali mbali kutoa uelewa na uzoefu wa jinsi siasa zinavyo fanya kazi Tanzania.
-
11
Siasa na Rushwa
Katika episode hii ya Siasa na Rushwa ,Bi.Bibie Mssumi na Said Miraj Abdulla wanajadili kuhusu Siasa bora huanza pale tunapochagua uadilifu badala ya tamaa ,Rushwa haijengi taifa inabomoa misingi ya haki na maendeleo ya taifa .Kila mmoja wetu ana wajibu wa kusema hapana kwa rushwa na ndiyo kwa uwajibikaji na uwazi.siasazetu #SiasaNaPropaganda#SiasaNiWananch
-
10
SIASA, MAHUSIANO NA MAENDELEO YA KIMATAIFA Ep 05.
#SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo
-
9
ELIMU NA SIASA TANZANIA Ep: 06 Part 02
#SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo #ElimunaSiasa
-
8
ELIMU NA SIASA TANZANIA Ep.06 part 01
#SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo #ElimunaSiasa
-
7
MJUE MCHUNGAJI NA MWANASIASA MASHUHURI PETER MSIGWA Ep.07
Mch. Peter Msigwa ni Mwanasiasa wa Tanzania, Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini kwa kipindi cha muda mrefu tangu mwaka 2010. Ingawa alikuwa mwanachama wa CHADEMA awali, alijiunga na chama tawala CCM mnamo Juni mwaka 2024.
-
6
SIASA, UWAZI & UWAJIBIKAJI Ep: 09
Katika episode hii ya Siasa Zetu, Fatma Karume na Thomas Kibwana wanajadili umuhimu wa uwazi na uwajibikaji katika siasa, na jinsi unavyochangia kutimiza malengo ya taifa na jamii kwa ujumla. Wote wanakubaliana kwamba uwazi katika utawala ni nguzo muhimu katika kujenga imani ya wananchi kwa viongozi wao na kuhakikisha kuwa rasilimali za taifa zinatumika kwa ufanisi na kwa manufaa ya watu wote.
-
5
NAFASI YA MWANANCHI KATIKA SIASA Ep 10.
Katika episode hii ya Siasa Zetu, Richard mbunda na Herny mwinuka wanajadili kuhusu nafasi muhimu ya mwananchi katika siasa! Humu kuna mijadala mbali mbali kuhusu ushiriki wa mwananchi kwenye uchaguzi, mijadala ya kisiasa, na ufuatiliaji wa utendaji wa serikali.
-
4
MCHANGO WA SIASA KATIKA AJIRA Ep 11.
Katika episode hii ya Siasa Zetu, Joseph Malekela na Ndolezi Petro wanajadili kuhusu Mchango wa siasa katika ajira ! Humu kuna mijadala mbali mbali kama jinsi serikali inavyotengeneza sera za kusaidia ajira kwa vijana na wananchi kwa ujumla.
-
3
SERA NA SIASA KWA USTAWI WA JAMII Ep 12.
Katika episode hii ya Siasa Zetu, Dorcas Fransis na Rahma Mwita wanajadili kuhusu sera na siasa kwa ustawi wa jam ii! Humu kuna mijadala mbali mbali kama jinsi serikali inavyotengeneza sera za kuhakikisha kila mwananchi ana haki ya kuchangia mawazo katika kukuza taifa .
-
2
SIASA, TEKNOLOJIA NA UCHAGUZI Ep 13.
Katika episode hii ya Siasa Zetu, Pascal Sulley na Lusungu Mubofu wanajadili kuhusu Siasa,Teknolojia na Uchaguz ! Humu kuna mijadala mbali mbali kama jinsi serikali inavyohamasisha uvumbuzi kwa kutoa ruzuku na sera zinazosaidia maendeleo ya teknolojia.
-
1
Siasa na Propaganda Ep 08.
Je, unafahamu maana ya propaganda na jinsi inavyotumika katika siasa? #siasazetu #SiasaNaPropaganda.#SiasaNiWananchi
We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.
No matches for "" in this podcast's transcripts.
No topics indexed yet for this podcast.
Loading reviews...
ABOUT THIS SHOW
SIASA ZA TANZANIANeno Siasa linamaana tofauti tofauti kwa kila mtu, wengi wanadhani siasa ni dhana ya kujihusisha na uongozi wa nyazifa mbali mbali za serikali.Lakini inawezekana tusichokijua ni kwamba Siasa zinagusa kila nyanja za maisha ya Mtanzania, iwe ni uchumi, maisha ya kila siku, michezo, afya, maendeleo ya jamii na kadha wa kadha.Mijadala ya Siasa inahitaji kujadiliwa katika mitazamo tofauti tofauti ili kuelewa athari na faida zake kwenye maisha ya kila siku, hiyo ndiyo kwasababu Siasa Zetu the Podcast inakuletea mjadala na wataalamu, wanasiasa na viongozi mbali mbali kutoa uelewa na uzoefu wa jinsi siasa zinavyo fanya kazi Tanzania.
HOSTED BY
123 Productions
CATEGORIES
Loading similar podcasts...