Swahili Dishes Podcast podcast artwork

PODCAST · society

Swahili Dishes Podcast

This podcast hosted by Faiza & Mkamburi is purely in Swahili language and focuses on breaking stereotypes about the Kenyan coastal community and culture through entertaining conversations.

  1. 84

    Mkiolewa Msijiachilie

    Kujiachilia inamaanisha nini haswa? Jumuika nasi tufafanue njia tofauti zinzazoashiria kuwa umejiachilia kwenye mahusiano.

  2. 83

    Madhara ya Kuchanganya Mahaba na Biashara

    Leo tunakuonya kuhusu madhara ya kufanya biashara na mpenzi wako. Je kuna mipaka unayoeza kueka kuhakikisha hutaadhirika mnapokosana?

  3. 82

    Work Wife na Work Husbands, Mahusiano Kazini yana Faida Gani?

    Ukumbi kwenye kipindi hiki tunawapa kina work wife na work husband.

  4. 81

    Je Content Creation Inalipa?

    Kama una mwanaharakati unayempenda ama wataka kuanza kufanya content kuna vitu muhimu lazima ujue.

  5. 80

    Masaibu Kazini! Toxic Work Environment

    Umewahi kufanya kazi mahali ukaanza kukonda kwa stress?

  6. 79

    “Ka Meza Fee” Ni Nini?Na Umuhimu Wa Mwanaume Kumpa Mke Wake Hio Ka Meza Fee Ni Gani?

    Kuna mila kwenye familia za uswahilini ambazo zimewezesha wanawake kushughulikia familia zao bila stress.

  7. 78

    Mwanaume Akiwa na Hela Kuwa Ready Kumkaribisha Mke Mwenza

    Mwanaume Mwenye Pesa Anaweza Kua Mwaminifu Kwa Mwanamke Mmoja?

  8. 77

    Athari Za Kulea Mwanaume!

    Tumeskia mara nyingi sana kuwa wanaume huwa hawafai kuhurumiwa. Je madhara huwa gani?

  9. 76

    When A Poor Man Marries Rich! Ni Makosa Ama Itamfaidi?

    Episode hii inaendeleza kipindi cha wiki iliyopita. Je, kama ni mkaka maskini, mambo yatamuendeaje?

  10. 75

    “Marrying Rich” Mdada Maskini Kuolewa Na Mkaka Tajiri/Pros&Cons

    Kuna changamoto au faida yoyote kwenye mahusiano kama haya?

  11. 74

    “A Cheating Provider!” Utaondoka Ama Utabaki?

    Kwenye episode Hii tunachambua mahusiano kati ya davido na mke wake chioma.

  12. 73
  13. 72

    "My Man Hanitoshelezi Kitandani!"

    Kama ni wewe ungefanyaje?

  14. 71

    "Alitumia Pesa Zangu Kuspoil Baby Mama Wake!"

    Kwenye episode hii tunampa ushauri dada huyu.

  15. 70
  16. 69

    Utajuaje Huo Mkahawa ni Ghali?

    Skiza kipindi hiki kabla hujajiaibisha kwenye mikahawa mjini.

  17. 68

    Wanawake Wanaoteseka Kwenye Mahusiano Hufanya Makosa Haya

    Tunawapa ushauri dada zetu ambao wamechoka kuteseka kwenye mahusiano.

  18. 67

    Best na Worst (QnA Challenge)

    Kipindi hiki tunaulizana maswali ya kuchangamsha kuhusu utotoni, shule na mahusiano.

  19. 66

    Siri za Wanamitindo/Ma Influencer Exposed!

    Tuangalie maisha ambayo wanamitindo wako unaopenda wanaishi

  20. 65

    "Nampa Girlfriend Yangu Pocket Money ya 20k Kila Mwezi" Kaka Ian

    Mahusiano yanagharimu Pesa siku hizi lakini kwa wale amabao hela hawana, wanatumia mbinu gani kimapenzi.

  21. 64

    Utajuaje Yeye ni Dume Suruali?

    Kipindi hiki tunachambua vijitabia vinavyomfanya atambulike kama Dume Suruali!

  22. 63

    Madhara ya Silent Treatment Katika Mahusiano

    Watu wengi hutumia silent treatment kuadhibiana kwenye mahusiano, lakini madhara yake ni makubwa.

  23. 62

    Nilimpigia Simu Saa Nne za Usiku Ikashikwa na Mke Mwenza!

    Masaibu ya mpenzi kupata msaidizi bila kujulishwa.

  24. 61

    Ni Sawa Kuingia Kwenye Mahusiano na Ex Wa Rafiki Yako?

    Kuna sheria masharti na mipaka ambayo haipaswi kuvukika kati ya marafiki wawili lakini tuangalie kama inawezekana.

  25. 60

    Mahusiano Nje Ya Dini Yako? Utafanikiwa Au La?

    Katika Maswala ya mahusiano na watu ne ya dini yako kuna changamoto gani?

  26. 59

    Red Flags Tunazopenda Kisirisiri

    Red flags nyingine hubadilika zikawa kijani,

  27. 58

    Nilinyanyaswa Kwenye Ndoa Yangu Nchini Nigeria: Stori ya Dada Lina

    Jumuika nasi na dada Lina akitusimulia maisha yake kwenye ndoa iliyomdhalilisha nchini Nigeria.

  28. 57

    Ni Lazima Kumposti Mpenzi Wako Mtandaoni

    Kwenye kipindi hiki tunachambua sababu tofauti za watu kuanika wapenzi wao mitandaoni.

  29. 56

    Huyo Mrembo Amesinywa na Wewe!

    Kama wadhani upendo bado uko, jitahadhari kaka.

  30. 55

    Character Development

    Episode tamu kabisa tunasoma comments za mashabiki wetu plae tiktok!

  31. 54

    Huyo ni Mwanaume Insecure

    Jitahadhari na mwanaume mwenye tabia hizi!

  32. 53

    Kama Bibi Yako ni Breadwinner, Tafakari Haya!

    Kuna masharti fulani lazima utimize bila kulalamika kama bibi yako ndio kichwa cha nyumba!

  33. 52

    Madharau Ndogo Ndogo

    Hufika wakati kwenye mahusiano ambapo wahusika hufanyiana vijimadharau vidogo vidogo vya kuudhi badili ya kukata mahusiano na kuachana.

  34. 51

    "Mume Wangu Anaongea Na Rafiki Yangu!" Nifanyeje?

    Tunatoa ushauri kwa dada aliyetuma message kuhusu masaibu ya mahusiano yake.

  35. 50

    Wanawake Wanajua Kudanganya Kushinda Wanaume

    Kuna vijiuongo fulani wanawake wamezoea kusema katika mahusiano. Tuangalie aina kadhaa.

  36. 49

    Sisi ni Marafiki Tu!

    Je Wanaume na wanawake wanaeza kuendeleza urafiki bila mahusiano?

  37. 48

    Usijiaibishe Bana!

    Tunaangalia njia tofauti unaweza kujiaibisha ukiwa kwenye date!

  38. 47

    Dame Wako Anacheati? Zingatia Ishara Hizi

    Epiosde hii tunawachanua kaka zetu kwa sababu siku hizi mahusiano yamekuwa kizungumkuti.

  39. 46

    Njia Tofauti Wanaume Hudanganya Wapenzi Wao (Common Lies Men Tell)

    Ukiona vyaelea, jua vimeundwa,.Msemo huu hutumika tofauti lakini ukisikia uongo unaotumika na wanaume wengi jua ni kwa sababu unafanya kazi. Episode hii ni onyo kwa wanawake.

  40. 45

    Ushawahi Kughostiwa na Mwanamke? Jua Kwa Nini Ulikula Block!

    Mapenzi yana changamoto lakini mwanamke akiamua kughosti jua kuna issue muhimu ya kuzingatia.

  41. 44

    Je Kuna Wachumba Kwenye DMs? (Reading Each Other's DMs)

    Jumuika nasi tukisoma DMs zetu, nani atakayebahatika na mapenzi ya dhati?

  42. 43

    Ulinitumia Vibaya!

    Ushawahi kuekwa parking kwenye mahusiano?

  43. 42

    Mwanaume Hapaswi Kulala kwa Wakwe Zake! QnA

    Kulingana na mila na desturi kuna vitu amabavyo havikubaliwi. Ungana nasi kwenye QnA ya kusisimua akili na mbavu!

  44. 41

    Mwanamke Akikuweka Friend Zone Wafaa Kujua Haya

    Kama wewe ni mwanaume unayejaribu kutoka kwa friend zone, tega sikio.

  45. 40

    Kwa nini Wanawake Wanachepuka Wakipata Wanaume Wazuri

    Ushawahi kuona mwanamke anayependwa kwa dhati na mwanaume wake akicheati? Huwa kuna sababu tofauti...

  46. 39

    Playing Hard to Get Ina Faida?

    Tujumuike kwenye QnA mambo ni dating episode hii.

  47. 38
  48. 37
  49. 36

    Kitchen Party Hoyee!

    Kama bibi arusi mtarajiwa, ungetaka kitchen party aina gani?

  50. 35

    Utajuaje Una Date Mwanaume Gold Digger?

    Tafuta karatasi na kalamu, darasa limeanza!

Type above to search every episode's transcript for a word or phrase. Matches are scoped to this podcast.

Searching…

We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.

No matches for "" in this podcast's transcripts.

Showing of matches

No topics indexed yet for this podcast.

Loading reviews...

ABOUT THIS SHOW

This podcast hosted by Faiza & Mkamburi is purely in Swahili language and focuses on breaking stereotypes about the Kenyan coastal community and culture through entertaining conversations.

HOSTED BY

Swahili Dishes Podcast

CATEGORIES

Frequently Asked Questions

How many episodes does Swahili Dishes Podcast have?

Swahili Dishes Podcast currently has 50 episodes available on PodParley. New episodes are automatically indexed when they're published to the podcast feed.

What is Swahili Dishes Podcast about?

This podcast hosted by Faiza & Mkamburi is purely in Swahili language and focuses on breaking stereotypes about the Kenyan coastal community and culture through entertaining conversations.

How often does Swahili Dishes Podcast release new episodes?

Swahili Dishes Podcast has 50 episodes. Check the episode list to see recent publication dates and frequency.

Where can I listen to Swahili Dishes Podcast?

You can listen to Swahili Dishes Podcast on PodParley by clicking any episode. We provide an embedded audio player for direct listening, and you can also subscribe via your preferred podcast app using the RSS feed.

Who hosts Swahili Dishes Podcast?

Swahili Dishes Podcast is created and hosted by Swahili Dishes Podcast.
URL copied to clipboard!