EPISODE · Jan 28, 2022 · 15 MIN
Kuwa makini na mapenzi ya mtandaoni sikiliza hii podcast!
from Love and Beauty Zone with Shula · host Shulamissbusiness
Mtandaoni ni sehemu ambayo tunakitana na watu wengi na kuanzisha urafiki. Kuna mikasa mingo tunakumbana mayo na tunayosimuliwa kuhusu watu wa mtandaoni na husussani mahusiano ya kimapenzi. Nmeandaa hii podcast baada ya kupata mikasa mingi ya kusikitisha juu ya Mapenzi ya mtandaoni!! Hivyo sikiliza mwanzo mwisho na tuma maoni yako kupitia page ya Instagram shula_missbusiness au gusa icon ya Instagram kuingia moja kwa moja Tembelea Instagram kwa maoni na ushauri
NOW PLAYING
Kuwa makini na mapenzi ya mtandaoni sikiliza hii podcast!
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.