Echu Podcast

PODCAST · society

Echu Podcast

Kufundisha na kuelimisha

  1. 6

    Tofauti kati ya Kuumba na kufanya

    Kuumba na kufanya ni kanuni ya Ki-Mungu, ikiwa unahitaji kufanikiwa huna budi kujifunza na kuitumia.

  2. 5

    Majibu ya asili ya jina Adamu

    Majibu ya asili ya jina Adamu kwa kufuata msingi wa swali kutoka kitabu cha Mwanzo 5 : 1-2

  3. 4

    Echu Maarifa : Mbinu za kuweka akiba

    Mbinu 8 bora za kukusaidia kuwa na tabia ya kuweka akiba.

  4. 3

    MAJIBU YA 1 : Adamu alikuwa wa jinsia gani?

    Kulingana na Mwanzo 5:1-2 "Mungu akawaita jina lao Adamu" ikiwa jina lao wote wawili lilikuwa ni Adamu kwa nini ilibadilika na kuwa utambulisho wa kiume, lakini pia kama ilikuwa ni kwa mmoja kwanini biblia imeandikwa kwa wingi. Majibu ya Ma'mtu ( Mrs Echu). Episode inayofuata itakuwa ni majibu ya Echu mwenyewe.

  5. 2

    Episode 2 : Adamu alikuwa wa jinsia gani?

    MSINGI WA SWALI : “Hiki ndicho kitabu cha vizazi vya Adamu. Siku ile Mungu alipoumba mtu, kwa sura ya Mungu alimfanya; mwanamume na mwanamke aliwaumba, akawabariki akawaita jina lao Adamu, siku ile walipoumbwa.” ‭‭Mwa‬ ‭5‬:‭1‬-‭2‬ ‭SUV‬‬ SWALI: 1. Je Adamu alikuwa ni wa jinsia gani? 2. Ikiwa alikuwa ni wa kiume, Biblia imeandika "akawaita " ni wingi je mwingine alieitwa ni nani? 3. Ikiwa wote majina yao ilikuwa Adamu, Eva( Hawa) ni nani? 4. Ikiwa Mungu aliumba mtu mke na mtu mme yule mtu mke ni nani? Katika kipindi hili ni mjadala wa utangulizi wa mjadala kamili utakaokujia kwenye kipindi kijacho.

  6. 1

    Mungu alikuwa wapi wakati anaumba mbingu na nchi?

    Swali la mjadala lililotoka kwenye kitabu cha biblia Mwanzo 1:1 ( Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.)

Type above to search every episode's transcript for a word or phrase. Matches are scoped to this podcast.

Searching…

We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.

No matches for "" in this podcast's transcripts.

Showing of matches

No topics indexed yet for this podcast.

Loading reviews...

ABOUT THIS SHOW

Kufundisha na kuelimisha

HOSTED BY

Elisha Chuma

CATEGORIES

URL copied to clipboard!