Get Visible with Lucia Podcast podcast artwork

PODCAST · education

Get Visible with Lucia Podcast

Welcome to 'Get Visible with Lucia!' your go-to podcast for embracing your uniqueness. I'm Lucia, your guide in the world of personal branding, confidence, and celebrating your true self. Whether you're navigating the corporate scene, starting a business, or just want to amplify your voice, you're in the right place. Let's dive in and 'Get Visible' together!

  1. 3

    Kila ninapo jaribu kuonekana sipati matokeo sahihi!

    Katika kipindi cha "Get Visible with Lucia", tunaangazia ulimwengu wa kutokuonekana hata tunapojitahidi sana. Katika kipindi hiki, nitakujulisha sababu tatu ambazo zinaweza kufanya jitihada zako za kuonekana zisifanikiwe. Sababu ya kwanza ni kutokuwa na mkakati madhubuti. Mara nyingi tunajikuta tukifanya vitu bila mpangilio wa kina au dira, hali ambayo inaweza kusababisha kutofaulu kuonekana. Sababu ya pili ni kukosa kuweka malengo ya wazi na kufuatilia maendeleo yetu. Bila malengo thabiti na njia za kufuatilia matokeo, inakuwa vigumu kujua ikiwa tunaelekea kwenye lengo letu au la. Sababu ya tatu ni kukosa kuwa na mtandao wa kijamii au msaada wa kutosha. Kuwa na watu wanaokusaidia na kukusapoti katika safari yako ya kuonekana ni muhimu sana. Kupitia mjadala wa kina, nitakupa njia za kukabiliana na changamoto hizi na kujinasua kutoka kwenye hali ya kutokuonekana. Usiache kusikiliza ili upate mwanga katika safari yako ya kuonekana na kufanikiwa.

  2. 2

    Ukurasa wa kwanza Get Visible!

    Karibu kwenye Ukurasa wa Kwanza wa Get Visible with Lucia Kwenye ukurasa huu utapata majibu ya kila swali lako kuhusu podcast ya Get Visible with Lucia Bila shaka utapata kufahamu kidogo kuhusu muongozaji wa podcast hii, Lucia, atakusafirisha kuelekea uwanja mpana wa kujenga jina, ujasiri na kuelewa Uhalisia wako. Tutazama kwa karibu maisha yetu na jinsi tunavyoweza kutumia tofauti zetu kama nguvu kwetu. Kama mwanzo wa safari yoyote ile, hii ni nafasi ya kugundua na kuelewa kwa kina zaidi jinsi ya 'Kuonekana' yani Visibility "na kuuishi uwezo na uhalisia wako. Jiunge nasi kwenye mazungumzo haya yenye kusisimua na hatua ya kwanza kuelekea utambulisho wako bora! Usisahau kutufuata kwenye mitandao ya kijamii kwa habari zaidi na mazungumzo mazuri. Tembelea ukurasa wetu wa @GetVisible with Lucia kwenye Instagram na Facebook. Link: https://www.instagram.com/getvisiblewithlucia_?igsh=MWk2d21oeHFqdWFzaw%3D%3D&utm_source=qr Karibu, rafiki!

  3. 1

    Get Visible with Lucia Trailer

    Asante kwa kuchagua 'Get Visible with Lucia!' Jiandae kufungua uwezo wako kamili, Mimi ni Lucia Mwashala, mwongozaji wako, rafiki yako wa karibu, na your Digital supporter. Jiandae kung'aa!

Type above to search every episode's transcript for a word or phrase. Matches are scoped to this podcast.

Searching…

We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.

No matches for "" in this podcast's transcripts.

Showing of matches

No topics indexed yet for this podcast.

Loading reviews...

ABOUT THIS SHOW

Welcome to 'Get Visible with Lucia!' your go-to podcast for embracing your uniqueness. I'm Lucia, your guide in the world of personal branding, confidence, and celebrating your true self. Whether you're navigating the corporate scene, starting a business, or just want to amplify your voice, you're in the right place. Let's dive in and 'Get Visible' together!

HOSTED BY

Lucia

Frequently Asked Questions

How many episodes does Get Visible with Lucia Podcast have?

Get Visible with Lucia Podcast currently has 3 episodes available on PodParley. New episodes are automatically indexed when they're published to the podcast feed.

What is Get Visible with Lucia Podcast about?

Welcome to 'Get Visible with Lucia!' your go-to podcast for embracing your uniqueness. I'm Lucia, your guide in the world of personal branding, confidence, and celebrating your true self. Whether you're navigating the corporate scene, starting a business, or just want to amplify your voice, you're...

How often does Get Visible with Lucia Podcast release new episodes?

Get Visible with Lucia Podcast has 3 episodes. Check the episode list to see recent publication dates and frequency.

Where can I listen to Get Visible with Lucia Podcast?

You can listen to Get Visible with Lucia Podcast on PodParley by clicking any episode. We provide an embedded audio player for direct listening, and you can also subscribe via your preferred podcast app using the RSS feed.

Who hosts Get Visible with Lucia Podcast?

Get Visible with Lucia Podcast is created and hosted by Lucia.
URL copied to clipboard!