Linnet Talks

PODCAST · society

Linnet Talks

Linnet Talks are all about socio-cultural issues, things that are a heartbeat of our communities; Family, Children, Young people and the most important of them all You. We dive deep into honest talks that make the listener look inwards and see life from a different outlook. These podcasts are for deep thinkers and transformers: people who want to change their lives for the better.There are no gray zones, just clear lines and the truth, leaving  the audience with a fresh perspective of life. These podcasts are in Kiswahili language, the Language of the East African community and the diaspora who still remember their African language.

  1. 9

    Unaweza Mpenda Mtu Asiyekupa Kitu?

    Ili mahusiano yawe ya thamani kwako je utatarajia jambo? Mapenzi ili yawe matamu yanahitaji pesa? Ndoa ili iwe na raha, itabidi iwe na mtoto? Mauhusiano mengi yamevunjwa kwasababu watu hawatambui msingi wa mahusiano ni kuhusiana na sio kupeana au kuonyeshana.Pengine hauridhishwi na mahusiano uliyonayo kwasababu hayaelekei vile ungependa, naomba nibadilishe mtazamo wako. Naomba kwenye Episode hii nikupe mwanga wa kukutoa kwenye giza la mahusiano "Superficial" to Mahusiano "Natural".

  2. 8

    Hey Champion,Utaweza!

    Katika episode hii ninaongea na wewe, "Tough Person," ambaye unapitia jambo ambalo hata wewe unaona ni gumu kuliko wewe. Sikiliza mpaka mwisho, ili ujuwe kwanini you are who you are; a tough one.

  3. 7

    Letting Go

    Letting go has never been easy, especially when it comes to matters of the heart. This episode is exactly the encouragement you need to let go of something or someone who no longer serves a positive purpose in your life. 

  4. 6

    Single Mama Mpenzi

    Kundi la wanawake wanaolea watoto pekee yao ndio kundi linalonyanyapaliwa zaidi katika jamii. Jina "Single Mama" limekuwa kama jina la kuwabeza wanawake wa kundi hili, bila kujali ni machungu mangapi wanapitia, na magumu mangapi wanavumilia wakiwa wanalea watoto wao wakiwa pekee yao.Katika "Linnet Talks", mwanamke atajisikia supported, loved and seen. Hii episode ni kwako wewe unayebeba jukumu kubwa sana la kulea ukiwa hauna msaada zaidi ya Mungu.

  5. 5

    Mzazi, Niache Nilivyo.

    Je unafahamu kwamba mtoto anaweza akaanza mawazo ya kuondoa uhai wake akiwa na miaka mitano. Tafiti zinaonyesha kwamba watoto wadogo hata wa miaka 5 wameshawahi kujaribu kuondoa maisha yao na wengine wakafanikiwa.Unafahamu ni mbinu gani ambazo unaweza tumia kama mzazi, ili usikutane na tatizo hili. Karibu usikilize episode hii iliyobeba tunu za kukuwezesha mzazi kumuandaa mtoto kuwaajili ya kufikia mategemeo yako.

  6. 4

    Let Me Be Real With You. Epi3

    Maisha ya kila siku yanataka mahusiano ya kweli na halisia, kikwazo ambacho kina wanyima watu wengi kufurahia mahusiano mbalimbali ni HOFU. Hofu ya kuwa "Dissapointed", ndio maana katika Epidode ya Pili ya "Let them Dissapoint You" niligusia kwamba waache watu wakuvunje moyo. Ila kwenye muendelezo wa Epidode 3 nitakuambia kwanini unafurahia zaidi Quality Relationships if you Let People Be Real with you and You with them.

  7. 3

    Let Them Dissapoint You. Epi2

    Katika Episode hii ya pili ya:"Let Them Dissapoint You", tunaangalia matarajio ya watu ambayo yamewaumiza sana. Ni muendelezo wa wazo la podcast ya iliyotangulia ya "Ulipoteza Wapi Self Confidence Yako?". Kutokana na matarajio ya watukatika maisha yetu kuwa "perfect" au kuwa vile tunataka tunawapa shida kwa kujiangalia wenyewe, matokeo hata ya kuwaadhiri kisaikolojia na kuwavunja nguvu yao ya kujiamini au kuwa huru. Kama wewe ni miongoni watu waliojitathmini na kuona ni watu wenye mategemeo makubwa au wameshawahi kuwa dissapointed, hii podcast ni kama maji ya kunywa kwao. Kukupa ahueni au utulivu wa mawazo kwa kuwaacha watu wawe "Real" hata wakikuvunja moyo.

  8. 2

    Ulipoteza wapi Self Confidence yako?

    Hii podcast ni kioo cha kujiangalia kwa yule ambaye anahofia kuwa amepoteza "Kujiamini" kwake. Imewazungumzia wanawake ila hata mzazi wa mtoto wa kike pia anaweza akapata mwanga, kujua ulezi wa watoto wa kike unawajenga vipi kuwa wanawake wanaojiamini au wasiojiamini. Wanawake wasiojiamini ni janga kwenye jamii hata kama kuna haki sawa, wanawake hawazifurahi hizo haki kwasababu hawajitokezi. Hii podcast ni kwajili ya wanawake ambao wanaona wamejipoteza njiani, na wanataka mwanga wa kumulika njia yao ili waweze kuwa watu wanaojionea fahari.

Type above to search every episode's transcript for a word or phrase. Matches are scoped to this podcast.

Searching…

We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.

No matches for "" in this podcast's transcripts.

Showing of matches

No topics indexed yet for this podcast.

Loading reviews...

ABOUT THIS SHOW

Linnet Talks are all about socio-cultural issues, things that are a heartbeat of our communities; Family, Children, Young people and the most important of them all You. We dive deep into honest talks that make the listener look inwards and see life from a different outlook. These podcasts are for deep thinkers and transformers: people who want to change their lives for the better.There are no gray zones, just clear lines and the truth, leaving  the audience with a fresh perspective of life. These podcasts are in Kiswahili language, the Language of the East African community and the diaspora who still remember their African language.

HOSTED BY

Linnet

URL copied to clipboard!