Simulizi za tunu

PODCAST · society

Simulizi za tunu

Hapa tutakuwa tunaangaza upande mzuri wa kila hadithi kuwa karibu na podcast yetu kujifunza, kuelimika na kudadisi zaidi juu ya mambo yanayo endelea ulimwenguni.

  1. 1

    SIMULIZI ZA TUNU- HUDUMA ZA AFYA ZANZIBAR

    Hivi ulisha wahi kujiuliza kuhusu huduma za Afya Zanzibar. katika wakati huu ambapo huduma ni BURE KABISA, Makubaliano ya utoaji wa huduma kwa kushirikaina na sekta binafsi kama ZED HEALTH SERVICES kampuni inayo pindua meza ya uzembe na mazoea ya utoaji wa huduma za afya Kuwa mstari wa mbele katika kutoa huduma bora Zanzibar katika Hospitali ya Wilaya ya Ijitimai-Unguja na Hospitali ya Wilaya Vitongoji-Pemba pamoja na usimamizi wa huduma za maabara ya Hospitali ya Rufaa ya Abdallah Mzee Pemba Mkoa kusini Pemba. Kuwa namimi masudznz kukusimulia kuhusu huduma za za bure hapa Zanzibar kwa kushirikiana na ZED HEALTH SERVICES

Type above to search every episode's transcript for a word or phrase. Matches are scoped to this podcast.

Searching…

We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.

No matches for "" in this podcast's transcripts.

Showing of matches

No topics indexed yet for this podcast.

Loading reviews...

ABOUT THIS SHOW

Hapa tutakuwa tunaangaza upande mzuri wa kila hadithi kuwa karibu na podcast yetu kujifunza, kuelimika na kudadisi zaidi juu ya mambo yanayo endelea ulimwenguni.

HOSTED BY

tunu talks

URL copied to clipboard!