PODCAST · news
Teknokona - Kona ya Teknolojia
by Comrade Mokiwa
Kona ya Teknolojia - www.teknolojia.co.tz ni tovuti inayokuletea habari na maujanja ya teknolojia kwa lugha ya kiswahili. Furahia mazungumzo kuhusu yanayojiri kuhusu teknolojia kila wiki.@Sehemu ya TechMsaada, www.techmsaada.com Teknokona Group LTD.
-
2
Kona ya Teknolojia - S01E02: Twitter sasa ni X, iOS 17, Apple vs UK, Samsung na simu za Foldable
Katika episode namba mbili kutoka Kona ya Teknolojia Tanzania, Stephen Mokiwa anafanya mazungumzo na Eric Emmanuel kuhusuMabadiliko ya Twitter kuwa X, mipango ya Elon Musk na X.Kizuri katika toleo la iOS 17 linalokuja hivi karibuni kwa watumiaji wa iPhone, iPadApple vs UK - Changamoto ambazo kampuni ya Apple wanazipitia nchini Uingereza zinazohusisha masuala ya kusalama na malipo kwa watengenezaji appsTukio la Samsung na ujio wa toleo jipya la simu za mkunjoUsisahau kuungana nasi kupitia:www.twitter.com/teknokonawww.instagram.com/teknokonawww.facebook.com/teknokonawww.instagram.com/techmsaadawww.teknolojia.co.tz - Blogu namba moja kwa habari za kiteknolojia kwa lugha ya kiswahili.www.techmsaada.com - Huduma ya TEHAMA kwa njia ya kifurushi, kwa wafanyabiashara na makampuni.
We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.
No matches for "" in this podcast's transcripts.
No topics indexed yet for this podcast.
Loading reviews...
ABOUT THIS SHOW
Kona ya Teknolojia - www.teknolojia.co.tz ni tovuti inayokuletea habari na maujanja ya teknolojia kwa lugha ya kiswahili. Furahia mazungumzo kuhusu yanayojiri kuhusu teknolojia kila wiki.@Sehemu ya TechMsaada, www.techmsaada.com Teknokona Group LTD.
HOSTED BY
Comrade Mokiwa
CATEGORIES
Loading similar podcasts...