Dunduliza

PODCAST · education

Dunduliza

Je, ungependa kukuza, kutunza and kuelewa fedha zako zaidi? Basi umefika sehemu sahihi. Dunduliza inakupa muongozo kupitia dondoo mbali mbali za kuongeza maarifa yako ya pesa kila wiki. Kipindi chetu kinapatikana pia East Africa radio kila jumatatu asubuhi. Haba na haba hujaza kibaba... kupitia Dunduliza, tunakupa elimu na ushauri kulingana na malengo na mahitaji yako kwa kutumia mifano ya kila siku ili kukusaidia ufanikiwe. Karibu!

  1. 14

    Pesa na Mahusiano

    Jinsi ya kuongea na mwenza wako kuhusu fedha na faida zake.

  2. 13

    Zawadi za Valentine's

    Kuwa wa tofauti na iba mifano hii kuonyesha ishara ya upendo aliye muhimu kwako.

  3. 12

    Muhimu ya Biashara

    Dondoo zitakazo kuungoza kufanikiwa kwenye ujasiriamali na biashara.

  4. 11

    Ongeza Mshahara

    Dondoo za kukupa kiinua mgongo na kukuhamasisha kuomba ongezeko la mshahara wako.

  5. 10

    Kukodi Nyumba

    Mambo kadhaa ya kuzingatia kabla ya kuanza harakati za kukodi au kuhama nyumba.

  6. 9

    Fedha na Afya ya Wanaume

    Tafiti inaonyesha kuwa wanaume weusi wanaathiraka zaidi na stress za pesa. Je suluhisho ni nini?

  7. 8

    Pensheni

    Fahamu maana ya pensheni na umuhimu wake unapostaafu.

  8. 7

    Bima ya Maisha

    Linda familia yako kwa kwa malipo yanapewa kwao endapo unaaga dunia.

  9. 6

    Bima ya Afya

    Pata kujua faida zinazoletwa kwa kujipatia wewe na familia yako Bima ya Afya.

  10. 5

    Lifestyle Inflation

    Mbinu za kuhakikisha uwezo na utajiri wako unapanda sambamba na kipato chako.

  11. 4

    Mfumuko wa Bei

    Jua athiri za mfumuko wa bei na jinsi ya kujikinga nazo.

  12. 3

    Michango

    Jinsi ya kumudu maombi ya michango.

  13. 2

    Delayed Gratification

    Pata kujua umuhimu wa kuvuta subira kwenye matamizi yako kwa ku-delay gratification.

  14. 1

    Dharura

    Je, unawezaje kujiandaa ili kupunguza athiri za dharura?

Type above to search every episode's transcript for a word or phrase. Matches are scoped to this podcast.

Searching…

No matches for "" in this podcast's transcripts.

Showing of matches

No topics indexed yet for this podcast.

Loading reviews...

ABOUT THIS SHOW

Je, ungependa kukuza, kutunza and kuelewa fedha zako zaidi? Basi umefika sehemu sahihi. Dunduliza inakupa muongozo kupitia dondoo mbali mbali za kuongeza maarifa yako ya pesa kila wiki. Kipindi chetu kinapatikana pia East Africa radio kila jumatatu asubuhi. Haba na haba hujaza kibaba... kupitia Dunduliza, tunakupa elimu na ushauri kulingana na malengo na mahitaji yako kwa kutumia mifano ya kila siku ili kukusaidia ufanikiwe. Karibu!

HOSTED BY

Happiness Watimanywa

URL copied to clipboard!