PODCAST · kids
Hadithi Hadithi...
by Hadithi Hadithi
Bringing you Swahili stories translated from different languages originating from Tanzania. Tutaendelea kuwaletea hadithi za makabila mbalimbali toka Tanzania.
-
15
Rumplestilskin
Hadithi hii imetafsiriwa toka katika lugha ya kiingereza kwa ajili ya podomatic ya Hadithi Hadithi. Asante kwa kutusikiliza na karibuni tena.
-
14
Jack na Mti wa Maharage
Hadithi hii imetafsiriwa kwenda katika kiswahili kwa ajili ya podcast ya Hadithi Hadithi
-
13
-
12
Cinderella - Sehemu ya Kwanza
Hadithi hii imetafsiriwa kwenda katika kiswahili kwa ajili ya podcast ya Hadithi Hadithi
-
11
Sungura na Mama mwenye shamba
Karibuni tena katika kipindi chetu cha Hadithi Hadithi. Leo tumewatayarishia hadithi ya Sungura na Mama mwenye shamba. Katika kabila la Kirimi, Sungura anatambulika kama mnyama mjanja na mwenye mbinu za kuweza kujitoa katika matatizo mbalimbali na wakati mwingine huweza kuwasaidia watu wenye matatizo kwa kutumia ujanja wake. Hii ni moja ya hadithi tulizosimuliwa tukiwa watoto.
-
10
Mbalamwezi Nyota Begani - Sehemu ya Pili
Hadithi ya Mbalamwezi Nyota Begani ni mojawapo ya Hadithi za Mama na Mwana toka Radio Tanzania. Kwa nakala ya hadithi hii na nyinginezo wasiliana na Radio Tanzania Dar es Salaam.
-
9
Chui mla maharage
Hadithi ya Chui mla maharage inatokana na kisa cha ukweli kilichotokea katika sehemu moja huko nchini Tanzania. Karibuni.
-
8
Urafiki wa Tumbili na Mamba
Asili ya hadithi hii ni kabila la Warimi toka mkoa wa Singida. Karibuni.
-
7
Siri Binti Mfalme - Sehemu ya Pili
Hadithi ya Siri Binti Mfalme ni mojawapo ya Hadithi za Mama na Mwana toka Radio Tanzania. Kwa nakala ya hadithi hii na nyinginezo wasiliana na Radio Tanzania Dar es Salaam.
-
6
Siri Binti Mfalme - Sehemu ya Kwanza
Hadithi ya Siri Binti Mfalme ni mojawapo ya Hadithi za Mama na Mwana toka Radio Tanzania. Kwa nakala ya hadithi hii na nyinginezo wasiliana na Radio Tanzania Dar es Salaam.
-
5
Mbalamwezi Nyota Begani - Sehemu ya Kwanza
Hadithi ya Mbalamwezi Nyota Begani ni mojawapo ya Hadithi za Mama na Mwana toka Radio Tanzania. Kwa nakala ya hadithi hii na nyinginezo wasiliana na Radio Tanzania Dar es Salaam.
-
4
Chusa na Nyoka Shingoni
Hadithi ya Chusa na Nyoka Shingoni ni mojawapo ya Hadithi za Mama na Mwana toka Radio Tanzania. Kwa nakala ya hadithi hii na nyinginezo wasiliana na Radio Tanzania Dar es Salaam.
-
3
Mfalme Kigongo
Hadithi ya Mfalme Kigongo ni mojawapo ya Hadithi za Mama na Mwana toka Radio Tanzania. Kwa nakala ya hadithi hii na nyinginezo wasiliana na Radio Tanzania Dar es Salaam.
-
2
Hadithi ya Binti Chura - Sehemu ya Pili
Hadithi ya Binti Chura imepatikana toka katika Hadithi za Mama na Mwana Radio Tanzania. Kwa nakala ya hadithi hii na nyinginezo wasiliana na Radio Tanzania Dar es Salaam. Tunaomba radhi kwa matatizo yoyote ya sauti katika hadithi hii.
-
1
Hadithi ya Binti Chura - Sehemu ya kwanza
Hadithi ya Binti Chura imepatikana toka katika Hadithi za Mama na Mwana Radio Tanzania. Kwa nakala ya hadithi hii na nyinginezo wasiliana na Radio Tanzania Dar es Salaam.
No matches for "" in this podcast's transcripts.
No topics indexed yet for this podcast.
Loading reviews...
Loading similar podcasts...