PODCAST · business
HALISI CHATS
by Anna Chinyoyo
Halisi Chats ni mazungumzo halisi kuhusu pesa, biashara, career na growth. Tunabreak down topics kama saving, investing na discipline kwa real-life examples ambazo zina make sense kwetu East Africa haswa Tanzania. Let us grow pamoja — pole pole but strategically. With Anna Chinyoyo 🎙️
-
3
Ins and outs za Biashara
Kuanzisha na kuendesha biashara na Coach Gloria!
-
2
Masoko ya mitaji na dhamana Tanzania
Kipindi hiki kinaelezea kwa lugha rahisi mfumo wa masoko ya mitaji nchini Tanzania—jinsi yanavyofanya kazi, nani anayehusika, na kwa nini ni muhimu kwa mtu anayefikiria kuwekeza au kukuza fedha zake.
-
1
Basics za uwekezaji
Katika session hii, tunaongelea basics za uwekezaji kwa lugha simple na relatable.Uwekezaji ni nini hasa? Unaanza lini? Unahitaji hela nyingi? Na tofauti yake na saving ni ipi?
We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.
No matches for "" in this podcast's transcripts.
No topics indexed yet for this podcast.
Loading reviews...
ABOUT THIS SHOW
Halisi Chats ni mazungumzo halisi kuhusu pesa, biashara, career na growth. Tunabreak down topics kama saving, investing na discipline kwa real-life examples ambazo zina make sense kwetu East Africa haswa Tanzania. Let us grow pamoja — pole pole but strategically. With Anna Chinyoyo 🎙️
HOSTED BY
Anna Chinyoyo
CATEGORIES
Loading similar podcasts...