PINPOINT PODCAST

PODCAST · sports

PINPOINT PODCAST

🎯 Uliwahi kujiuliza… Kwa nini baadhi ya matukio yanaamua mechi, lakini watu wengi hawaoni? PIN POINT imerudi. Safari hii… tunaenda ndani zaidi. Sio kwa macho tu— bali kwa takwimu zinazoeleza ukweli wa mchezo. Kwa sababu hatuangalii kilichotokea… tunaangalia kwanini kimetokea. Kaa tayari. 🎙️

  1. 2

    PIN POINT ep 2

    DONDOO ZA KARIAKOO DERBY: Leo ‘Mwamba wa Juu’ @leomusikula_tz tz anaangazia takwimu za kimbinu na kiufundi kwa Simba SC na Yanga SC baada ya mchezo wa jana Mei 3, 2026 uliotamatika kwa timu hizo kugawana alama moja moja.

  2. 1

    PINPOINT ep 1

    Fainali ya Muungano Cup inaleta kitu cha kipekee—Yanga SC dhidi ya Simba SC, Jumatano Aprili 29 saa 2:15 usiku.Mwamba wa Juu hapa LEONAR MUSIKULA nimekuletea uchambuzi wa kitakwimu na ufundi kuelekea kwenye mchezo huu.

Type above to search every episode's transcript for a word or phrase. Matches are scoped to this podcast.

Searching…

No matches for "" in this podcast's transcripts.

Showing of matches

No topics indexed yet for this podcast.

Loading reviews...

ABOUT THIS SHOW

🎯 Uliwahi kujiuliza… Kwa nini baadhi ya matukio yanaamua mechi, lakini watu wengi hawaoni? PIN POINT imerudi. Safari hii… tunaenda ndani zaidi. Sio kwa macho tu— bali kwa takwimu zinazoeleza ukweli wa mchezo. Kwa sababu hatuangalii kilichotokea… tunaangalia kwanini kimetokea. Kaa tayari. 🎙️

HOSTED BY

Leonard Musikula

CATEGORIES

URL copied to clipboard!