EPISODE · Mar 9, 2026 · 11 MIN
09 MACHI 2026
from Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu · host Flora Nducha
Hii leo jarida la Umoja wa Mataifa linakuletea taarifa ya ufunguzi wa Kikao cha 70 cha Kamisheni ya Hali ya Wanawake Duniani CSW70 jijini New York Marekani, mwaka huu kikibeba maudhui “Haki, haki ya kisheria na Hatua kwa wanawake na wasichana wote”.Zaidi ya washiriki 9000 wakiwemo wawakilishi wa serikali, asasi za kiraia, Umoja wa Mataifa na mashirika yake na wadau wengine wanatarajiwa kushiriki jukwaa hili litakalokunja jamvi 19 Machi likijumuisha mikutano ya kando 750.Pia tunakupeleka Gaza, eneo la palestina linalokaliwa kimabavu na Israel kumwangazia Alya Abu Shawish, Mwanamke anayefanya kazi katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kutoa huduma ya kutegua mabomu, UNMASakisaidia kuwaweka salama wenzake katika mojawapo ya mazingira hatari zaidi duniani. Jarida linaelekea pia Tanzania kupata simulizi ya mtoto aliyekuwa amekosa fursa ya kupata masomo.
What this episode covers

NOW PLAYING
09 MACHI 2026
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.