100 Episodes later, Bado Tunapambana episode artwork

EPISODE · Apr 23, 2025 · 59 MIN

100 Episodes later, Bado Tunapambana

from Men The Podcast · host Michael Baruti

Walipoanza Men Men Men The Podcast mwishoni mwa mwaka 2019, Michael na Nadia walikuwa wawili tu – na maikrofoni. Hakukuwa na studio ya kitaalamu, wala mpango mkubwa. Kulikuwa tu na wazo moja: kuanzisha mazungumzo ya kweli kuhusu afya ya akili ya wanaume.Hawakujua kama kuna mtu atawasikiliza. Hawakujua kama kuna yeyote atajali kuhusu maongezi haya. Lakini leo hii, baada ya miaka mitano na episodes 100, imekuwa wazi kuwa podcast hii imekuwa zaidi ya wao wawili. Imebeba sauti za uchungu, ushindi, maswali magumu, na ukweli ambao mara nyingi husalia kimya.Katika episode hii ya kipekee, Michael na Nadia wanarudi walipoanzia – si kwa kurudia, bali kwa kutafakari. Wanazungumza kwa uhalisia kuhusu safari yao, changamoto walizokumbana nazo, na yale ambayo bado ni vita ambayo wanapigana nayo hadi leo. Wanajiuliza: Je, bado wana kiu ya mabadiliko kama siku ya kwanza? Je, bado wanaamini kuwa mazungumzo haya ni muhimu katika jamii?Jibu lao ni NDIO. Na kama wewe pia bado unaamini hivyo, basi episode hii ni kwa ajili yako pia.

NOW PLAYING

100 Episodes later, Bado Tunapambana

0:00 59:53

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Men The Podcast?

This episode is 59 minutes long.

When was this Men The Podcast episode published?

This episode was published on April 23, 2025.

What is this episode about?

Walipoanza Men Men Men The Podcast mwishoni mwa mwaka 2019, Michael na Nadia walikuwa wawili tu – na maikrofoni. Hakukuwa na studio ya kitaalamu, wala mpango mkubwa. Kulikuwa tu na wazo moja: kuanzisha mazungumzo ya kweli kuhusu afya ya akili ya...

Can I download this Men The Podcast episode?

Yes, you can download this episode by clicking the download button on the episode player, or subscribe to the podcast in your preferred podcast app for automatic downloads.
URL copied to clipboard!