EPISODE · Apr 11, 2021 · 16 MIN
#13: Njia 6 za kurudisha passion na hamasa kwenye biashara yako
from The AloCast · host Amani Longishu
Je umepoteza hamasa na pasion ya biashara yako? Katika episode hii ya 13 Nimezungumzia Njia 6 za kurudisha hamasa na passion kwenye biashara yako. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara unayependa afanikiwe na biashara yake! Nifollow Instagram👇🏿 www.instagram.com/mjasiriamalidigital Unahitaji kuniona mimi? Kupata appointment, Darasa au ebook👇🏿 https://beacons.page/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, Kuipa 5 stars na kuandika review yako Kuhusu Mjasiriamali Digital Podcast kwenye Apple Podcasts Ikiongozwa na Amani Longishu
Embed this episode
NOW PLAYING
#13: Njia 6 za kurudisha passion na hamasa kwenye biashara yako
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.