EPISODE · May 30, 2021 · 8 MIN
#15: Uuzaji wa bidhaa kwenye mitandao ya kijamii umebadilika
from The AloCast · host Amani Longishu
Katika episode hii ya 15 Nimezungumzia jinsi uuzaji wa bidhaa kwenye mitandao ya kijamii ulivyobadika kwa sasa tofauti na miaka 10 nyuma. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara unayependa afanikiwe na biashara yake! Nifollow Instagram www.instagram.com/mjasiriamalidigital Unahitaji kuniona mimi? Kupata appointment, Darasa au ebook https://beacons.page/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, Kuipa 5 stars na kuandika review yako Kuhusu Mjasiriamali Digital Podcast kwenye Apple Podcasts Ikiongozwa na Amani Longishu
Embed this episode
NOW PLAYING
#15: Uuzaji wa bidhaa kwenye mitandao ya kijamii umebadilika
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.