EPISODE · Jul 6, 2021 · 11 MIN
#20: Mambo 6 ya kufanya kabla ya kuanza Biashara instagram
from The AloCast · host Amani Longishu
Wengine wameanza biashara naturally yaani maisha yao wamewapelekea kuanza biashara kutokana na vile vitu wanavyopenda kufanya kwenye mitandao ya kijamii. Kwenye Episode hii ya 20 utajifunza mambo 6 ya kufanya kabla ya kuanza biashara instagram, kama ndo kwanza unafirikia kuanza biashara kwenye mtandao huo wenye mamilioni ya watu. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara. Niulize swali hapa⬇️ www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako na kuipa 5 stars Podcast hii kwenye Apple Podcasts.
Embed this episode
NOW PLAYING
#20: Mambo 6 ya kufanya kabla ya kuanza Biashara instagram
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.