EPISODE · Aug 28, 2021 · 8 MIN
#25: Jinsi ya kujenga kujiamini kwenye kamera ili kujenga biashara mtandaoni
from The AloCast · host Amani Longishu
Kama wewe ni mfanyabiashara au mjasiriamali na bado hujaanza kutengeneza video kwaajili ya bidhaa au huduma zako!! Utaendelea kubaki nyuma kwenye mitandao ya kijamii. Katika episode hii ya 25 nimezungumzia njia 5 za kujenga kujiamini kwenye camera ili kujenga biashara mtandaoni. Niulize swali hapa⬇️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama inakusaidia. For sponsorship👇🏻 Email: [email protected]
Embed this episode
NOW PLAYING
#25: Jinsi ya kujenga kujiamini kwenye kamera ili kujenga biashara mtandaoni
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.