#26: Inachukua muda gani kupata mteja wa kwanza kwenye instagram? - Eric Baisi episode artwork

EPISODE · Sep 16, 2021 · 12 MIN

#26: Inachukua muda gani kupata mteja wa kwanza kwenye instagram? - Eric Baisi

from The AloCast · host Amani Longishu

Leo nimepata wasaa mzuri wa kuzungumza na Eric Baisi Mtaalamu wa masuala ya kidigitali kutoka Maje Digital, Kampuni inayojihusisha na kusaidia wafanyabishara wenye uwepo mdogo mtandaoni, Kujenga uaminifu kwa wateja wao kupitia maendeleo ya tovuti, graphic designs pamoja na Usimamizi wa kurasa za mitandao wa kijamii. Ameshare mengi nami hasa Jinsi anavyoingiza kipato, Ushauri kwa vijana walioko vyuoni na Inachukua muda gani kuanza kupata mteja wako wa kwanza instagram. Sikiliza na share na mfanyabiashara anayetoa huduma yoyote ya kidigitali. Niulize swali hapa👇🏼 https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama inakusaidia. For sponsorship👇🏻 Email: [email protected] Follow Akaunti ya Maje Digital 👇🏼 https://www.instagram.com/majedigital Stalk Eric on IG https://www.instagram.com/ericbaisi Stalk me on IG https://www.instagram.com/amanilongishu Mjasiriamali Digital Podcast Episode ya 26

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Sep 16, 2021

Embed this episode

NOW PLAYING

#26: Inachukua muda gani kupata mteja wa kwanza kwenye instagram? - Eric Baisi

0:00 12:43

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of The AloCast?

This episode is 12 minutes long.

When was this The AloCast episode published?

This episode was published on September 16, 2021.

Can I download this The AloCast episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!