EPISODE · Sep 25, 2021 · 12 MIN
#27: Njia 4 za kupata mauzo kwa muendelezo
from The AloCast · host Amani Longishu
Unapoona unapata mauzo usiache kuendeleaa kujitangaza ili mauzo yaendelee kuwa endelevu na yasio yake ya kushuka na kupanda. Katika episode hii, Amani Longishu amekupatia njia 4 za kukusaidia wewe kupata mauzo endelevu. Sikiliza na share na mfanyabiashara apate kujifunza! Je una swali lolote kuhusu biashara kwenye mitandao ya kijamii? Niulize hapa👇🏿 https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog hapa👇🏿 https://www.mjasiriamalidigital.com/blog Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama inakusaidia. For sponsorship👇🏻 Email: [email protected] https://www.instagram.com/amanilongishu Mjasiriamali Digital Podcast Episode 27
Embed this episode
NOW PLAYING
#27: Njia 4 za kupata mauzo kwa muendelezo
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.