EPISODE · Dec 29, 2021 · 10 MIN
#30: Sababu 5 kwanini hawasomi machapisho yako instagram
from The AloCast · host Amani Longishu
Kila mtu anapenda akichapisha kitu instagram, watu wasome na kujumuika na watu walioacha maoni!! Kwahiyo kama ukiona hakuna anayesoma machapisho yako kuna sababu!! Katika episode hii ya 30 nimekupa sababu 5 zinazosababisha wasisome machapisho yako! Sikiliza na share na mwinvine Niulize swali hapa🔻 https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe na kunipa 5 stars rating na review kwenye Apple Podcast For sponsorship🔻 Email: [email protected] Host🔻 https://www.instagram.com/amanilongishu Mjasiriamali Digital Podcast episode 30
Embed this episode
NOW PLAYING
#30: Sababu 5 kwanini hawasomi machapisho yako instagram
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.