EPISODE · Jan 17, 2022 · 10 MIN
#31: Mambo 5 ya kufanya ukishindwa kupost mara kwa mara instagram
from The AloCast · host Amani Longishu
Ni kawaida kwa wafanyabiashara kupoteza muda mwingi kwenye Instagram pindi wanapokuwa hawana maudhui ya kuchapisha kwenye kurasa zao za kibiashara. Katika episode imekupa mambo 5 ya kufanya ukishindwa kuchapisha mara kwa mara kwenye ukurasa wako. Mambo yenyewe ni. 1. Kupost kwenye story 2. Post chapisho la miezi 3 iliyopita 3. Ungana na umuika na kurasa zingine 4. Kuwa active kwenye DM 5. Tenga siku ya kutafuta maudhui, kuandaa na kuya schedule in advance Sikiliza kisha chukua screenshoot na kupost kwenye instastory kisha unitag. Niulize swali hapa🔻 https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe na kunipa 5 stars rating na review kwenye Apple Podcast Kutangaza biashara yako🔻 Email: [email protected] Host🔻 https://www.instagram.com/amanilongishu Mjasiriamali Digital Podcast episode 31
Embed this episode
NOW PLAYING
#31: Mambo 5 ya kufanya ukishindwa kupost mara kwa mara instagram
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.