EPISODE · Mar 26, 2022 · 15 MIN
#33: Ufanye nini utokee kwenye EXPLORE page ya Instagram? | Mambo 5 ya kufanya
from The AloCast · host Amani Longishu
Katika episode hii nimezungumzia mambo 5 ya kufanya ili kutokea na kuonekana kwenye EXPLORE page kwenye mtandao wa Instagram Ambayo Ni: 1. Kujenga mamlaka kwenye kitu unachofanya 2. Tengeneza maudhui yenye values 3. Weka hashtags kwenye chapisho lako 4. Focus na engagement 5. Tumia Reels Ukiwa unasikiliza chukua screenshoot na post kwenye instastory yako kisha unitag @mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe na kuipa 5 stars ratings na review kwenye Apple Podcasts Niulize swali hapa https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Kutangaza biashara yako Email: [email protected] Host IG: https://www.instagram.com/amanilongishu Mjasiriamali Digital Podcast episode 33
Embed this episode
NOW PLAYING
#33: Ufanye nini utokee kwenye EXPLORE page ya Instagram? | Mambo 5 ya kufanya
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.