EPISODE · Apr 12, 2022 · 11 MIN
#34: Aina 5 ya maudhui ya kupost Instagram ili upate WATEJA
from The AloCast · host Amani Longishu
Katika episode hii nimezungumzia Aina 5 ya maudhui ya kupost Instagram ili upate wateja. Ambayo Ni: 1. Maudhui ya kuelimisha 2. Maudhui ya kuhamasisha/ kutoa motisha 3. Maudhui ya kuburudisha 4. Maudhui ya kujenga uaminifu 5. Maudhui ya Kujitangaza Ukiwa unasikiliza chukua screenshoot na post kwenye instastory yako kisha unitag @mjasiriamalidigital Niulize swali hapa https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Kutangaza biashara yako kwenye podcast hii Tuwasiliane: [email protected] Host IG: https://www.instagram.com/amanilongishu Mjasiriamali Digital Podcast Episode 34
Embed this episode
NOW PLAYING
#34: Aina 5 ya maudhui ya kupost Instagram ili upate WATEJA
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.