EPISODE · Apr 30, 2023 · 12 MIN
#48: Jifunze Skills Kisha Tengeneza Connection | Ft Eric Baisi
from The AloCast · host Amani Longishu
Kwenye episode hii Eric Baisi kutoka Maje Digital ametoa mwanga kuhusu biashara instagram, ushauri wa wanafunzi wa chuo na je inachukua muda gani kuingiza pesa kupitia Instagram? Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yangu https://www.mjasiriamalidigital.com Mjasiriamali Digital Podcast Episode 48
Embed this episode
NOW PLAYING
#48: Jifunze Skills Kisha Tengeneza Connection | Ft Eric Baisi
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.