EPISODE · Jul 9, 2026 · 20 MIN
Amani ya Kweli Hujengwa Katika Ukaribu na Mungu!
from Neno la Leo
🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo tunaangalia simulizi za Othnieli, Shamgari, Tola na Yairi kupitia kitabu cha Waamuzi. Katika vipindi hivi vya historia ya Israeli, tunajifunza jinsi Mungu alivyoendelea kuinua watu tofauti kwa nyakati tofauti ili kuwaletea watu wake ukombozi, uongozi na amani. Kupitia simulizi hizi tunaona kwamba Mungu hahitaji watu wanaofanana wala njia zilezile kutimiza makusudi yake. Je, uko tayari kuitikia mwito wa Mungu katika nafasi aliyokuweka leo?Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨
Embed this episode
Ready to play
Amani ya Kweli Hujengwa Katika Ukaribu na Mungu!
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.