EPISODE · Aug 1, 2026
Darubini ya mashindano ya Wafcon, Jumuiya ya Madola na Cecafa Kagame Cup
from Jukwaa la Michezo · host RFI Kiswahili
Leo kwenye kipindi tunaangazia WAFCON inayoendelea nchini Morocco - Kenya yaaga mashindano huku Tanzania ikisalia na matumaini lakini Nigeria na Afrika Kusini zimeanza kwa kusuasua, wanariadha wanaendelea kunyakua medali katika mashindano ya Jumuiya ya Madola nchini Scotland, wakati mashindano ya Cecafa Kagame Cup yakiingia nusu fainali.
Embed this episode
NOW PLAYING
Darubini ya mashindano ya Wafcon, Jumuiya ya Madola na Cecafa Kagame Cup
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.