EPISODE · Apr 15, 2022 · 44 MIN
Double Gameweek 33 | FPLTZ Podcast | FPL Tanzania | Swahili Tips 2021/22
from FPLTZ Podcast · host FPL Tanzania
Double Gameweek 33 ni ya kipekee maana kuna maamuzi mengi ya kufanyika na Mkali pamoja na Eric watajibu maswali kadhaa yanayotatiza kuelekea gameweek hii. Karibuni! Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kucheza game hii) ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano! WhatsApp Group Invite https://chat.whatsapp.com/BDKV0rUOKw4KpwS4VoJx9T Jiunge FPL Tanzania League https://fantasy.premierleague.com/leagues/auto-join/alsp78 #fpltz #FPLTZPodcast
Embed this episode
NOW PLAYING
Double Gameweek 33 | FPLTZ Podcast | FPL Tanzania | Swahili Tips 2021/22
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.