EPISODE · Sep 12, 2024 · 27 MIN
E4. Wagalatia Sura ya 5
from Mwalimu Huruma Gadi · host Mwalimu Huruma Gadi
Katika wiki hii Mwalimu anaendelea kutufundisha sura ya 5 ya Kitabu cha Wagalatia. Katika sura hii, Mtume Paulo anazungumzia uhuru wetu katika Kristo na umuhimu wa kuishi kwa kuenenda katika roho. Anaelezea namna sheria inavyopaswa kutumika katika maisha yetu, na jinsi matunda ya Roho yanavyoleta mabadiliko katika mienendo yetu ya maisha. Pamoja na namna ya kushinda changamoto mbalimbali kwa kutumia imani.
Embed this episode
Ready to play
E4. Wagalatia Sura ya 5
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.