Ep. 3 - Salama Na Jokate | KAMISHNA episode artwork

EPISODE · Feb 16, 2020 · 1H 8M

Ep. 3 - Salama Na Jokate | KAMISHNA

from Salama Na · host Salama Na

Maana halisi ya ’nyota njema huonekana alfajiri’, najua sikuwepo hiyo ‘alfajiri’ wakati Mh Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe anazaliwa lakini hakika nilikuwepo wakati anamaliza wa pili kwenye mashindano ya Miss Tanzania mwaka 2006. Nilikuwepo pia kushuhudia jinsi alivyokua anapangua mikuki na mishale iliyokua inarushwa upande wake kwa zaidi ya miaka kumi na mitatu kabla hajapata cheo alichonacho sasa. Jokate amekua muerevu toka siku ya kwanza na kwa mazungumzo haya nilifanya naye bila ya shaka yatakupa mwangaza zaidi juu ya haya niyasemayo. Focus alokua naweka kwenye kila afanyalo ni funzo tosha kwetu sote na maana halisi hasa ya adui wa ndoto zako ni kupotea njia na kusahau nia na madhumuni ya mambo yako ulojiwekea kuyakamilisha. Ni msomi, mrembo, mwenye huruma, mwenye kumjua Mungu, mwenye connection zake, mwenye kutafuta na asichoke na mwenye akili zake timamu haswa. Kama rafiki, nikaona nisiwe mchoyo na kwa ruhusa yake ambayo tuliifuata Kisarawe tumeweza kukaa nae mezani na kuzungumza juu ya siku ya kwanza alipopata tarifa ya kwamba ameteuliwa kuwa Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, usomi ndani ya familia yao, kwenda chuoni baada ya kugombea taji la urembo wa Miss Tanzania, jinsi anavyopambana kuijenga Kisarawe na kumbukumbu zake za utotoni. Please Enjoy. Love, Salama.

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Feb 16, 2020

Embed this episode

NOW PLAYING

Ep. 3 - Salama Na Jokate | KAMISHNA

0:00 1:08:34

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Salama Na?

This episode is 1 hour and 8 minutes long.

When was this Salama Na episode published?

This episode was published on February 16, 2020.

Can I download this Salama Na episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!