Skip to content
Episode 99: Kiswahili (Baravenes) - "Yesu: Bwana na Mwokozi" / Swahili(Baravenes) - "Jesus: Lord and Saviour".3gp episode artwork

EPISODE · Apr 8, 2021 · 1H 1M

Episode 99: Kiswahili (Baravenes) - "Yesu: Bwana na Mwokozi" / Swahili(Baravenes) - "Jesus: Lord and Saviour".3gp

from ===="Bishaaro Wanaagsan", "Heesaha Injiilka", "Ereyada Nolosha" - Luqadaha Ugu Muhiimsan ee Lagu Adeegsaday Soomaaliya / "Good News", "Gospel Songs", "Words of Life" - Main Languages Used in Somalia ==== · host Tze-John Liu

Sawaaxilii (Baravenes) - "Ciise: Sayid iyo Badbaadiye" / "السواحلية - "يسوع: الرب والمخلص // 1 WAKORINTHO 13Upendo1Hata kama nikinena lugha za watu na hata za malaika, lakini kama sina upendo mimi nimekuwa tu kama sauti ya debe tupu au kengele. 2Tena, naweza kuwa na kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu, nikafahamu siri zote na kujua kila kitu; naweza kuwa na imani yote hata nikaweza kuihamisha milima, lakini kama sina upendo mimi si kitu. 3Nikitoa mali yangu yote na kuwapa maskini, na tena nikiutoa mwili wangu uchomwe, kama sina upendo hiyo hainifai chochote. 4Mwenye upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu, hajidai, wala hajivuni. 5Mwenye upendo hakosi adabu, hatafuti faida yake binafsi, wala hana wepesi wa hasira; haweki kumbukumbu ya mabaya, 6hafurahii uovu, bali hufurahia ukweli. 7Mwenye upendo huvumilia yote, huamini yote, na hustahimili yote. 8Upendo hauna kikomo kamwe. Kama kuna vipaji vya kutangaza ujumbe wa Mungu, hivyo vitatoweka siku moja; kama ni vipaji vya kusema lugha ngeni, vitakoma; kama kuna elimu, nayo itapita. 9Maana ujuzi wetu si kamili, na kipaji chetu cha kutangaza neno la Mungu si kamili. 10Lakini kile kilicho kikamilifu kitakapofika, vyote visivyo vikamilifu vitatoweka. 11Nilipokuwa mtoto mchanga nilisema kitoto, nilifahamu kitoto, nilifikiri kitoto. Lakini sasa, maadamu mimi ni mtu mzima, mambo ya kitoto nimeyaacha. 12Tunachoona sasa ni kama tu sura hafifu katika kioo, lakini hapo baadaye tutaona uso kwa uso. Sasa ninajua kiasi fulani tu, lakini hapo baadaye nitajua yote kikamilifu, kama vile Mungu anavyonijua mimi. 13Sasa yanadumu haya matatu: Imani, tumaini na upendo; lakini lililo kuu kupita yote ni upendo.

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Apr 8, 2021

Embed this episode

Ready to play

Episode 99: Kiswahili (Baravenes) - "Yesu: Bwana na Mwokozi" / Swahili(Baravenes) - "Jesus: Lord and Saviour".3gp

0:00 1:01:52

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of ===="Bishaaro Wanaagsan", "Heesaha Injiilka", "Ereyada Nolosha" - Luqadaha Ugu Muhiimsan ee Lagu Adeegsaday Soomaaliya / "Good News", "Gospel Songs", "Words of Life" - Main Languages Used in Somalia ====?

This episode is 1 hour and 1 minute long.

When was this ===="Bishaaro Wanaagsan", "Heesaha Injiilka", "Ereyada Nolosha" - Luqadaha Ugu Muhiimsan ee Lagu Adeegsaday Soomaaliya / "Good News", "Gospel Songs", "Words of Life" - Main Languages Used in Somalia ==== episode published?

This episode was published on April 8, 2021.

Can I download this ===="Bishaaro Wanaagsan", "Heesaha Injiilka", "Ereyada Nolosha" - Luqadaha Ugu Muhiimsan ee Lagu Adeegsaday Soomaaliya / "Good News", "Gospel Songs", "Words of Life" - Main Languages Used in Somalia ==== episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!