F3. Wagalatia Sura ya 6 episode artwork

EPISODE · Sep 18, 2024 · 28 MIN

F3. Wagalatia Sura ya 6

from Mwalimu Huruma Gadi · host Mwalimu Huruma Gadi

Rafiki, tunaendelea na uchambuzi wa kitabu cha Wagalatia sura ya 6 katika sura hii Mtume Paulo anawashauri waamini kuhusu umuhimu wa kusaidiana na kubeba mizigo ya wengine. Anasema kuwa, kama mtu anapotenda dhambi, wale walio simama imara wanapaswa kumsaidia kurejea katika njia sahihi kwa upole na upendo. Aidha, anawatia moyo waamini kutokukata tamaa katika kutenda mema, kwa sababu muda wa kuvuna utakuja. Zaidi ya hayo Mtume Paulo anasisitiza umuhimu wa Wakristo kuenenda katika roho.

NOW PLAYING

F3. Wagalatia Sura ya 6

0:00 28:58

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Mwalimu Huruma Gadi?

This episode is 28 minutes long.

When was this Mwalimu Huruma Gadi episode published?

This episode was published on September 18, 2024.

What is this episode about?

Rafiki, tunaendelea na uchambuzi wa kitabu cha Wagalatia sura ya 6 katika sura hii Mtume Paulo anawashauri waamini kuhusu umuhimu wa kusaidiana na kubeba mizigo ya wengine. Anasema kuwa, kama mtu anapotenda dhambi, wale walio simama imara wanapaswa...

Can I download this Mwalimu Huruma Gadi episode?

Yes, you can download this episode by clicking the download button on the episode player, or subscribe to the podcast in your preferred podcast app for automatic downloads.
URL copied to clipboard!