EPISODE · Sep 22, 2024 · 28 MIN
F6. Wagalatia Sura ya 6
from Mwalimu Huruma Gadi · host Mwalimu Huruma Gadi
Rafiki, tunaendelea na uchambuzi wa kitabu cha Wagalatia sura ya 6 katika sura hii Mtume Paulo anawashauri waamini kuhusu umuhimu wa kusaidiana na kubeba mizigo ya wengine. Anasema kuwa, kama mtu anapotenda dhambi, wale walio simama imara wanapaswa kumsaidia kurejea katika njia sahihi kwa upole na upendo. Aidha, anawatia moyo waamini kutokukata tamaa katika kutenda mema, kwa sababu muda wa kuvuna utakuja. Zaidi ya hayo Mtume Paulo anasisitiza umuhimu wa Wakristo kuenenda katika roho.
What this episode covers

NOW PLAYING
F6. Wagalatia Sura ya 6
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
Jun 16, 2026 ·66m
Jun 11, 2026 ·3m
Jun 11, 2026 ·48m
Jun 10, 2026 ·72m