Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 zitafanyika Juni-Julai episode artwork

EPISODE · Feb 14, 2026

Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 zitafanyika Juni-Julai

from Jukwaa la Michezo · host RFI Kiswahili

Leo tumeangazia CAF kudhibitisha kuwa AFCON 2027 itaandaliwa Afrika Mashariki licha ya tetesi za kuahirishwa au kuhamishwa, uchambuzi wa raundi ya mwisho ya hatua ya makundi mechi za klabu bingwa, mechi za kufuzu kombe la dunia la wasichana U20, siku ya kwanza ya michuano ya raga ya wachezaji saba kila upande divisheni ya pili ya HSBC, mfumo mpya wa mashindano ya Tour du Rwanda, kiungo wa Ghana Thomas Partey akumbwa na shtaka jipya lakini pia michezo ya Olimpiki msimu wa baridi.

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Feb 14, 2026

Embed this episode

NOW PLAYING

Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 zitafanyika Juni-Julai

0:00 0:00

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

When was this Jukwaa la Michezo episode published?

This episode was published on February 14, 2026.

Can I download this Jukwaa la Michezo episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!