EPISODE · Nov 29, 2021 · 1H 16M
Gameweek 14 Preview | FPL Tanzania | Fantasy Premier League Swahili Tips 2021/22
from FPLTZ Podcast · host FPL Tanzania
Kwenye podcast hii tunaongelea preview ya gameweek 14. Vilevile tutaongelea team zetu zilivofanya gameweek iliyopita na mipango yetu kwenda kipindi hiki chenye games nyingi. 0:00:57 Team ya Eric 0:09:34 Team ya Godfrey 0:17:52 Five at the back? 0:28:50 Strikers wazushi bado? 0:35:00 Top Transfers zilizofanywa ahead of gameweek 14 0:43:37 Timu zenye fixture nzuri 0:52:02 Captain Picks 1:00:50 Under the radar About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kucheza game hii) ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano! Follow our accounts on: https://twitter.com/fpltanzania https://twitter.com/mkali_1 https://twitter.com/ericbaisi Code ya “FPL TANZANIA - Clubhouse” mini league ni alsp78
Embed this episode
NOW PLAYING
Gameweek 14 Preview | FPL Tanzania | Fantasy Premier League Swahili Tips 2021/22
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.