EPISODE · May 18, 2022 · 13 MIN
Hakuna Mbwa Yoyote anaweza Vunja Ndoa Yangu
from Divathebawse · host Divathebawse
Baada Ya Maswali Mengi na wengi kuniomba niongelee ndoa yangu na vizabizabina vinavyojileta kutaka maneno ya hapa na Pale nawahakikishia baadhi Ya mashabiki zangu rafiki na ndugu zangu, Hii ni ndoa ina cheti cha serikali hakuna mbwa yoyote anaweza vunja ndoa yangu unless wenyewe tuchokane ila Mi na Mume Wangu Bado Tupotupo saaaaana
Embed this episode
NOW PLAYING
Hakuna Mbwa Yoyote anaweza Vunja Ndoa Yangu
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.