EPISODE · Aug 17, 2026 · 8 MIN
Hata Sasa Bwana Ametusaidia!
from Neno la Leo
🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo kupitia 1 Samweli 7:12 tunafika katika wakati wa ushindi baada ya Israeli kumrudia Mungu. Samweli anasimamisha jiwe na kuliita Ebeneza, akisema, “Hata hapa Bwana ametusaidia.” Jiwe hilo lilikuwa ukumbusho kwamba hawakufika pale kwa nguvu zao wenyewe bali kwa msaada wa Mungu. Nasi tunapoitazama safari ya maisha yetu kuna milima tuliyodhani hatutaivuka, milango tuliyodhani haitafunguka na nyakati ambazo hatukujua tutafikaje kesho. Lakini leo tupo hapa. Neno la leo linatufundisha umuhimu wa kukumbuka uaminifu wa Mungu kwa sababu kumbukumbu ya kile Mungu alichotenda jana hutupa imani ya kumwamini kwa yale yaliyo mbele yetu. Je, unapoitazama safari yako unaweza kutambua Ebeneza zako na kusema, “Hata hapa Bwana amenisaidia”? Kama Mungu amekuwa mwaminifu mpaka hapa, tunaweza kumtumainia pia katika hatua inayofuata.Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨
Embed this episode
Ready to play
Hata Sasa Bwana Ametusaidia!
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.