Hatari ya Kumuacha Mungu na Kufuata Moyo Wako! episode artwork

EPISODE · Jul 10, 2026 · 17 MIN

Hatari ya Kumuacha Mungu na Kufuata Moyo Wako!

from Neno la Leo

🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo tunaanza sehemu ya mwisho ya kitabu cha Waamuzi kupitia Waamuzi 17:6. Neno la Mungu linaonyesha hali ya kusikitisha ya Israeli ambapo kila mtu alianza kufanya alichoona kuwa sawa machoni pake badala ya kumruhusu Mungu kuwa mwongozo wa maisha yake. Kupitia kipindi hiki tunajifunza kwamba tunapoacha kutafuta mapenzi ya Mungu na kuongozwa na hisia zetu wenyewe, tunaweka msingi wa machafuko ya kiroho na kupoteza mwelekeo. Je, maamuzi yako yanaongozwa na Neno la Mungu au na kile unachokiona kuwa sahihi?Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Jul 10, 2026

Embed this episode

Ready to play

Hatari ya Kumuacha Mungu na Kufuata Moyo Wako!

0:00 17:46

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Neno la Leo?

This episode is 17 minutes long.

When was this Neno la Leo episode published?

This episode was published on July 10, 2026.

Can I download this Neno la Leo episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!