EPISODE · Jan 19, 2022 · 59 MIN
Heri Wapatanishi | Mathayo 5:9 | Mchungaji Kabaria
from Trinity Baptist Church Donholm, Nairobi · host tbcnairobi
9 "Heri walio wapatanishi, maana hao wataitwa wana wa Mungu." 1) Je, hawa ni wapatanisha vipi? Wagalatia 5:20...uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, 2) Je, inamaanisha nini kuwa wataitwa wana wa Mungu? Waeph 1:3 “Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa roho, ndani yake Kristo;” 3) Je, wanajidhihirisha vipi kuwa ni wapatanishi? 1Co 6:7 “Basi imekuwa shida kwenu kabisa kwamba mnashitakiana ninyi kwa ninyi. Maana si afadhali kudhulumiwa? Maana si afadhali kunyang'anywa mali zenu?”
Embed this episode
NOW PLAYING
Heri Wapatanishi | Mathayo 5:9 | Mchungaji Kabaria
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.