Hitimisho la Kitabu cha Waamuzi: Nani Ameketi Kwenye Kiti cha Enzi cha Maisha Yako? episode artwork

EPISODE · Jul 15, 2026 · 13 MIN

Hitimisho la Kitabu cha Waamuzi: Nani Ameketi Kwenye Kiti cha Enzi cha Maisha Yako?

from Neno la Leo

🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo tunahitimisha kitabu cha Waamuzi kupitia Waamuzi 21:25. Baada ya safari ndefu ya kuona ushindi, kuanguka, toba na kurudia makosa yale yale, Biblia inatupa hitimisho moja lenye uzito: “Kila mtu alifanya alivyoona ni vyema machoni pake.” Kupitia hitimisho hili tunajifunza kwamba chanzo cha machafuko ya Israeli hakikuwa ukosefu wa viongozi au nguvu, bali kumwondoa Mungu katika kiti cha enzi cha mioyo yao. Je, ni nani anayeyaongoza maamuzi yako leo, maoni yako mwenyewe, sauti ya dunia au Neno la Mungu?Karibu tusikilize, tutafakari na kuhitimisha pamoja safari yetu ya kitabu cha Waamuzi. 🙏📖✨

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Jul 15, 2026

Embed this episode

Ready to play

Hitimisho la Kitabu cha Waamuzi: Nani Ameketi Kwenye Kiti cha Enzi cha Maisha Yako?

0:00 13:20

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Neno la Leo?

This episode is 13 minutes long.

When was this Neno la Leo episode published?

This episode was published on July 15, 2026.

Can I download this Neno la Leo episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!