Huwezi Kumtumikia Mungu kwa Moyo Uliogawanyika! episode artwork

EPISODE · Aug 16, 2026 · 20 MIN

Huwezi Kumtumikia Mungu kwa Moyo Uliogawanyika!

from Neno la Leo

🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo kupitia 1 Samweli 7:3 tunamwona Samweli akiwaita Waisraeli warudi kwa Mungu baada ya miaka ya kupotea. Lakini kurudi kwao hakukuwa suala la kusema tu kwamba wametubu. Samweli aliwataka waondoe miungu mingine na wamwelekee Bwana kwa mioyo yao yote. Neno la leo linatufundisha kwamba toba ya kweli si majuto pekee, lazima ionekane katika mabadiliko ya maisha. Huenda sisi hatuna sanamu kama za Israeli lakini fedha, kazi, mahusiano, tamaa, kutafuta sifa za watu au hata nafsi zetu zinaweza kuchukua nafasi ambayo Mungu pekee anastahili. Je, kuna kitu tunachomwomba Mungu atusamehe lakini bado hatuko tayari kukiacha? Kurudi kwa Mungu kwa kweli kunahitaji si maneno mapya tu bali mwelekeo mpya wa maisha.Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Aug 16, 2026

Embed this episode

Ready to play

Huwezi Kumtumikia Mungu kwa Moyo Uliogawanyika!

0:00 20:28

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Neno la Leo?

This episode is 20 minutes long.

When was this Neno la Leo episode published?

This episode was published on August 16, 2026.

Can I download this Neno la Leo episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!