Ijue Sifuri Yako (Part 2) episode artwork

EPISODE · Jul 23, 2024 · 1H 14M

Ijue Sifuri Yako (Part 2)

from Men The Podcast · host Michael Baruti

Baada ya kuzungumza naye katika sehemu ya kwanza, Bwana Ng’winula Kingamkono au maarufu zaidi kama #Unu wa Tunzaa anarejea tena katika Podcast yetu kwa sehemu ya pili na ya mwisho kwa sasa. Safari hii Unu anaendelea kutupa ujuzi na uzoefu wake katika kuanzisha, kusimamia na kuendesha biashara ya “StartUp” yake Tunzaa. Kumbuka, Unu hakuanzia hapa. Anaongea na Michael Baruti na Nadia Ahmed kuhusu maana ya mafanikio, maumivu aliyopitia, kitu anachojivunia na namna pia kwa upande mwingine kuwa baba kumekuja kuwa jambo bora na funzo bora sana kwake kama mwanaume, kaka, mtoto wa kwanza na zaidi ya yote kama mfanyabiashara. Na swala ambalo bado analilisitiza kwetu sote ni kuijua sifuri yetu. Je, wewe unaijua sifuri yako? Unajua ulipoanzia? Unajivunia safari yako? Sikiliza mazungumzo haya yenye mafunzo ya kutosha kwetu sote.

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Jul 23, 2024

Embed this episode

NOW PLAYING

Ijue Sifuri Yako (Part 2)

0:00 1:14:09

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Men The Podcast?

This episode is 1 hour and 14 minutes long.

When was this Men The Podcast episode published?

This episode was published on July 23, 2024.

Can I download this Men The Podcast episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!