EPISODE · Jun 28, 2026 · 10 MIN
Imani Inapokutana na Mashaka!
from Neno la Leo
🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo tunatafakari simulizi ya Gideoni na ngozi ya kondoo kutoka Waamuzi 6:36–40. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba hata watu wa imani wanaweza kuwa na maswali na mashaka. Gideoni anatufundisha kuwa imani si kutokuwa na maswali kabisa, bali ni kuendelea kumtafuta Mungu katikati ya maswali hayo. Je, tunasubiri ishara nyingine kutoka kwa Mungu, au tunahitaji kuamini zaidi kile ambacho tayari amesema?Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨
Embed this episode
Ready to play
Imani Inapokutana na Mashaka!
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.