Inakuwaje Tunapohisi Mungu Ametusahau Kabisa? episode artwork

EPISODE · Jul 29, 2026 · 18 MIN

Inakuwaje Tunapohisi Mungu Ametusahau Kabisa?

from Neno la Leo

Leo tunaendelea na simulizi ya Ruthu kupitia Ruthu 4:14. Wanawake wa Bethlehemu wanamsifu Mungu kwa sababu hakumwacha Naomi bila mkombozi. Yule aliyewahi kufikiri kwamba Mungu amemwacha sasa anaona kwa macho yake jinsi Bwana alivyokuwa akitimiza ahadi zake hatua kwa hatua. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba ukimya wa Mungu si ishara ya kutusahau. Kwa wakati wake mkamilifu, hubadilisha majonzi kuwa ushuhuda na kufanya hata walioshuhudia machozi yetu waje kushuhudia uaminifu wake. Je, kuna eneo la maisha yako ambalo unahisi Mungu amekusahau? Simulizi la Naomi linatukumbusha kwamba Mungu hakusahau ahadi yake, na hata leo bado anatenda kwa wale wanaomtumaini.Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Jul 29, 2026

Embed this episode

Ready to play

Inakuwaje Tunapohisi Mungu Ametusahau Kabisa?

0:00 18:34

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Neno la Leo?

This episode is 18 minutes long.

When was this Neno la Leo episode published?

This episode was published on July 29, 2026.

Can I download this Neno la Leo episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!