EPISODE · Jun 30, 2026 · 25 MIN
Je, Imani Yako Ni Yako Kweli? Au Umeazima?
from Neno la Leo
🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo tunatafakari Waamuzi 8:33–34. Baada ya kifo cha Gideoni, Waisraeli walimsahau Mungu na kurudia njia zao za zamani. Kupitia simulizi hili tunajifunza kwamba imani ya kweli haiwezi kutegemea mtu mwingine bali inapaswa kujengwa katika uhusiano binafsi na Mungu. Pia tunakumbushwa kwamba mara nyingi kuanguka huanza pale tunaposahau fadhili na matendo makuu ambayo Mungu ametutendea.Karibu tusikilize, tutafakari na kuimarisha uhusiano wetu na Mungu. 🙏📖✨
Embed this episode
Ready to play
Je, Imani Yako Ni Yako Kweli? Au Umeazima?
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.