EPISODE · Jul 12, 2026 · 13 MIN
Je, Tumaini Lako Limejengwa Juu ya Nini?
from Neno la Leo
🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo tunahitimisha simulizi ya Mika kupitia Waamuzi 18:23–24 na 18:30–31. Baada ya sanamu za Mika kuondolewa, aligundua kwamba tumaini lake lilikuwa limejengwa juu ya vitu alivyovitengeneza mwenyewe. Kabila la Dani nalo likaendelea na mfumo wake wa ibada, licha ya Mungu kuwa tayari ameonyesha jinsi anavyotaka kuabudiwa. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba ibada ya kweli hujengwa juu ya Neno la Mungu, na kwamba kile tunachokitegemea zaidi ndicho kinachoweza kuwa “mungu” wetu. Je, tumaini letu limejengwa juu ya Mungu wa kweli, au juu ya vitu vinavyoweza kupotea?Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨
Embed this episode
Ready to play
Je, Tumaini Lako Limejengwa Juu ya Nini?
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.