EPISODE · Jul 14, 2026 · 20 MIN
Je, Utachagua Kweli au Maslahi ya Kundi Lako?
from Neno la Leo
Leo kwenye Neno la LeoLeo tunaendelea na hitimisho la kitabu cha Waamuzi kupitia Waamuzi 20:12–14. Baada ya uovu mkubwa kutendeka huko Gibea, makabila ya Israeli yalitaka haki itendeke. Lakini kabila la Benyamini lilichagua kuwatetea waovu badala ya kusimama upande wa kweli. Kupitia tukio hili tunajifunza kwamba jamii huanza kuporomoka pale ambapo uaminifu kwa familia, kabila, kundi au maslahi binafsi unakuwa mkubwa kuliko utii kwa Mungu na kweli yake. Je, tuko tayari kusimama upande wa haki hata inapogharimu maslahi yetu au ya watu tunaowapenda?Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨
Embed this episode
Ready to play
Je, Utachagua Kweli au Maslahi ya Kundi Lako?
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.